Hapa nimekuwekea video ambazo utakutana na hiyo style ya kucheza ambayo inazidi kuchukua headlines kwenye video za wasanii wa kimarekani pamoja na wasanii wa Africa.
Najua nina watu wangu ambao hampendi kupitwa na chochote sasa kama ulikuwa na hamu ya kufahamu style ya kucheza inayochukua headlines kwa sasa kwenye ma club na sehemu mbalimbali basi nimekusogezea video kadhaa uone jinsi style iitwayo Dab ilivyochukua umaarufu kwenye video za wasanii wa kimarekani na hata wa Africa.
No comments:
Post a Comment