Kama utaenda Club basi hii ndio style inayobamba kwa sasa

Najua nina watu wangu ambao hampendi kupitwa na chochote sasa kama ulikuwa na hamu ya kufahamu style ya kucheza inayochukua headlines kwa sasa kwenye ma club na sehemu mbalimbali basi nimekusogezea video kadhaa uone jinsi style iitwayo Dab  ilivyochukua umaarufu kwenye video za wasanii wa kimarekani  na hata wa Africa.

                                                                  
Hapa nimekuwekea video ambazo  utakutana na hiyo style ya kucheza ambayo inazidi kuchukua headlines kwenye video za wasanii wa kimarekani pamoja na wasanii wa Africa.

No comments:

Post a Comment